• HABARI MPYA

  Thursday, July 21, 2016

  KILA MTU NA FANI YAKE, ONA SASA KIKAPU KILIVYOMTOA NISHAI POGBA!

  Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa, Paul Pogba anayewaniwa na Manchester United akisaidiwa kuinuka baada ya kuanguka wakati anacheza mpira wa kikapu mjini Miami, Marekani alipokwenda kujifua kivyake kujiandaa na msimu mpya. Pogba alivaa jezi ya nyota wa Golden State Warriors, Stephen Curry  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KILA MTU NA FANI YAKE, ONA SASA KIKAPU KILIVYOMTOA NISHAI POGBA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top