• HABARI MPYA

  Friday, July 15, 2016

  DAKTARI MPYA WA AZAM FC AWASILI, STRAIKA WA NIGER NAYE ATUA CHAMAZI

  Daktari mpya wa Azam FC, Sergio Soto Perez (katikati), akiwa na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Zeben Hernandez Rodriguez (kulia) na Meneja Luckson kakolaki (kushoto) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kutoka Hispania leo tayari kuanza kazi na mabingwa hao wa Afrika Mashariki na Kati. Perez ataungana na jopo la madaktari wengine wa Azam FC, ambao ni Juma Mwimbe na Twalib Mbaraka kuimarisha dawati la tiba. 
  Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba (kushoto) akiwa na mshambuliaji Mossi Moussa Issa kutoka Niger Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam baada ya mchezaji huyo kutoka klabu ya Sahel Sporting ya kwao kuwasili kwa majaribio
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DAKTARI MPYA WA AZAM FC AWASILI, STRAIKA WA NIGER NAYE ATUA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top