• HABARI MPYA

    Saturday, July 16, 2016

    CONTE AANZA VIBAYA CHELSEA, APIGWA 2-0 AUSTRIA

    Mchezaji wa Rapid Vienna, Philipp Schobesberger akimtoka kiungo wa Chelsea, Willian katika mchezo wa kirafiki mjini Vienna, Austria. Rapid ilishinda 2-0 mabao ya Joelinton na Tomi Correa, huo ukiwa mwanzo mbaya kwa kocha mpya, Mtaliano Antonio Conte  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CONTE AANZA VIBAYA CHELSEA, APIGWA 2-0 AUSTRIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top