• HABARI MPYA

  Saturday, July 16, 2016

  CHANONGO ASAINI MIAKA MIWILI MTIBWA SUGAR

  Kiungo Haroun Chanongo (katikati) akiwa ameshika jezi ya Mtibwa Sugar pamoja na Mratibu wa timu hiyo, Jamal Bayser (kulia) na Meneja wake, Jamal Kisongo (kushoto) baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo ya Manungu, Morogoro.
  Chanongo (kulia) akisaini Mkataba huo pembeni ya Jamal Bayser leo mjini Dar es Salaam  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHANONGO ASAINI MIAKA MIWILI MTIBWA SUGAR Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top