• HABARI MPYA

    Thursday, July 14, 2016

    BIN KLEB, CHANJI NA PEDEZYEE NDAMA WAIBUKA MAZOEZINI YANGA LEO

    Kiongozi wa zamani wa Yanga, Abdallah Ahmed Bin Kleb (kushoto) akisalimiana na Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' aliye nyuma ya kiungo Haruna Niyonzima alipotembelea mazoezi ya timu hiyo jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
    Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Isaac Chanji (kushoto) akisalimiana na wachezaji leo mazoezini
    Katikati na mwanachama wa Yanga maarufu kwa jina la Pedezyee Ndama Mtoto wa Ng'ombe akizungumza na kipa Deo Munishi 'Dida'
    Hapa Chanji (kulia) anazungumza kocha Mholanzi wa Yanga, Hans van der Pluijm 
    Amissi Tambwe aliyekuwa anasumbuliwa na Malaria (kushoto) kwa siku ya pili mfululizo leo amefanya mazoezi kuelekea mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Medeama FC ya Ghana Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BIN KLEB, CHANJI NA PEDEZYEE NDAMA WAIBUKA MAZOEZINI YANGA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top