• HABARI MPYA

  Thursday, July 21, 2016

  BAYERN MUNICH YA ANCELOTTI YAITWANGA 1-0 MAN CITY YA PEP

  Kiungo wa Manchester City, Fernandinho akimfukuzia winga wa Bayern Munich, Franck Ribery katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya usiku wa kuamkia leo Uwanjja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani. Ikicheza chini ya kocha mpya, Carlo Ancelotti kwa mara ya kwanza, Bayern iliifunga 1-0 Man City iliyocheza kwa mara ya kwanza pia chini ya kocha mpya, Pep Guardiola, bao pekee la Erdal Ozturk dakika ya 76  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH YA ANCELOTTI YAITWANGA 1-0 MAN CITY YA PEP Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top