• HABARI MPYA

    Thursday, July 21, 2016

    BAO LA MANE LAKATALIWA, LIVERPOOL YACHINJA 2-0, COUTINHO AKOSA PENALTI

    Sadio Mane akifikiri amefunga baada ya kumlamba chenga kipa Joel Coleman wa Huddersfield, lakini refa akasema Msenegali huyo alichezewa rafu na kukataa bao hilo. Liverpool ilishinda 2-0 Uwanja wa John Smith, mabao ya Marko Grujic na Alberto Moreno kwa penalti na ingeweza kushinda 3-0 kama Philippe Coutinho asingekosa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAO LA MANE LAKATALIWA, LIVERPOOL YACHINJA 2-0, COUTINHO AKOSA PENALTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top