• HABARI MPYA

  Saturday, June 18, 2016

  UNDAVA WAENDELEA EURO 2016, MASHABIKI WA HUNGARY NAO WAKINUKISHA

  Walinzi wa uwanjani (wenye bluu) wakijaribu kuwadhibiti mashabiki wa Hungary kabla ya timu yao kuanza kumenyana na Iceland katika mchezo wa Kundi F Euro 2016 Uwanja wa Velodrome mjini Marseille, Ufaransa uliomalizika kwa sare ya 1-1  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UNDAVA WAENDELEA EURO 2016, MASHABIKI WA HUNGARY NAO WAKINUKISHA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top