• HABARI MPYA

  Wednesday, June 22, 2016

  UJERUMANI NA POLAND ZAPIGA 1-0 WAPINZANI NA KUTINGA 16 BORA EURO 2016

  Nyota wa Ujerumani, Mario Gomez akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee la ushindi ikiilaza 1-0 Ireland ya Kaskazini katika mchezo wa Kundi C Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Kwa ushindi huo, Ujerumani imemaliza kileleni mwa kundi kwa pointi zake saba sawa na Poland iliyomaliza nafasi ya pili na wote wanakwenda hatuaa ya 16 Bora  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Nyota aliyetokea benchi Jakub Blaszczykowski (katikati) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Poland ikiwalaza 1-0 jirani zao, Ukraine katika mchezo wa Kundi C Euro 2016 Uwanja wa Velodrome mjini Marseille, Ufaransa  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UJERUMANI NA POLAND ZAPIGA 1-0 WAPINZANI NA KUTINGA 16 BORA EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top