• HABARI MPYA

    Monday, June 20, 2016

    UFARANSA YATINGA MTOANO EURO 2016, ALBANIA YAILAZA 1-0 ROMANIA

    Kiungo wa Ufaransa, Paul Pogba akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Uswisi katika mchezo wa Kundi A Euro 2016 usiku wa Jumapili Uwanja wa Stade Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d'Ascq, Ufaransa. Timu hizo zimetoka sare ya 0-0 na wenyeji, Ufaransa wamefuzu hatua ta 16 Bora  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

    Armando Sadiku akiifungia Albania kwa kichwa bao pekee dhidi ya Romania katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa Kundi A Uwanja wa Parc Olympique Lyonnais mjini Decines-Charpieu, Ufaransa  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UFARANSA YATINGA MTOANO EURO 2016, ALBANIA YAILAZA 1-0 ROMANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top