• HABARI MPYA

  Sunday, June 05, 2016

  TAIFA STARS NA MAFARAO KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta (kushoto) akijivuta kupiga shuti pembeni ya beki wa Misri, Abdallah Mahmoud Saidkatika mchezo wa Kundi G kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Misri ilishinda 2-0
  Mshambuliaji wa Taifa Stars, akimtoka beki wa Mafarao, Nagram Mohsin Fahmy
  Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akiwatoka mabeki wa Misri
  Mshambuliaji wa Tanzania, John Bocco akipambana na beki wa Misri, Abood Abdulrahman Amed
  Samatta akiwachambua wachezaji wa Misri jana huku refa Meye Bastrel wa Gabon akishuhudia
  Beki wa Taifa Stars, Aggrey Morris akiruka juu kupiga   mpira kichwa dhidi ya wachezaji wa Mafarao
  Kiungo wa Tanzania, Mwinyi Kazimoto (kulia) akiwania mpira wa juu dhidi ya kiungo wa Misri Tarek Hamad Hemed
  Kiungo wa Tanzania, Himid Mao akimtoka beki wa Mafarao, Nagram Mohsin Fahmy
  Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza jana dhidi ya Mafarao na kuchapwa 2-0

  Kikosi cha Misri kilichoifunga Taifa Stars 2-0 jana Uwanja wa Taifa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS NA MAFARAO KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top