• HABARI MPYA

  Monday, June 20, 2016

  SERENGETI BOYS WANAVYOJIFUA VIKALI KWA AJILI YA SHELISHELI

  Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys wakionyeshana ujuzi katika mazoezi yao jioni ya leo Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za Afrika dhidi ya Shelisheli Juni 26, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam  Mshauri wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika Programu za Maendeleo ya Vijana, Mdenmark Kim Poulsen akijadiliana na makocha wa Serengeti wakati wa mazoezi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS WANAVYOJIFUA VIKALI KWA AJILI YA SHELISHELI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top