• HABARI MPYA

  Sunday, June 05, 2016

  MUHAMMAD ALI ALIPOZURU TANZANIA MWAKA 1980

  Bingwa wa zamani wa ngumi za kulipwa uzito wa juu duniani, Mohammad Ali aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana, aliwahi kuzuru nchini Tanzania mwaka 1980 na hapa akiwa mjini Dar es Salaam katika ziara yake. Pumzika kwa amani fundi wa ngumi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MUHAMMAD ALI ALIPOZURU TANZANIA MWAKA 1980 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top