• HABARI MPYA

  Sunday, June 19, 2016

  MSETO, MABINGWA WA KWANZA LIGI KUU KUTOKA MIKOANI

  Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji wa timu ye Mseto ya Morogoro Uwanja wa Jamhuri mjini humo. Mseto ndiyo walikuwa bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1974 na kuweka rekodi ya timu ya kwanza kutoka nje ya Dar es Salaam kutwaa taji hilo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSETO, MABINGWA WA KWANZA LIGI KUU KUTOKA MIKOANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top