• HABARI MPYA

    Saturday, June 18, 2016

    MORATA AING'ARISHA HISPANIA EURO 2016, APIGA MBILI IKIUA 3-0

    Mshambuliaji wa Hispania, Alvaro Morata akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Uturuki usiku wa jana Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice, Ufaransa katika mchezo wa Kundi D Euro 2016. Bao lingine la mabingwa hao watetezi lilifungwa na Nolito  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MORATA AING'ARISHA HISPANIA EURO 2016, APIGA MBILI IKIUA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top