• HABARI MPYA

    Saturday, June 18, 2016

    LUKAKU APIGA MBILI UBELGIJI YASHINDA 3-0 EURO 2016

    Mshambuliaji wa Ubelgiji, Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Jamhuri ya Ireland leo katika mchezo wa Kundi E Euro 2016 Uwanja wa Matmut-Atlantique mjini Bordeaux, Ufaransa. Bao lingine la Ubeligiji limefungwa na Axel Witsel  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LUKAKU APIGA MBILI UBELGIJI YASHINDA 3-0 EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top