• HABARI MPYA

  Friday, June 17, 2016

  ITALIA YAIKANDAMIZA SWEDEN 1-0 EURO 2016

  Mshambuliaji wa Italia, Eder akishangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake dakika 88 ikiilaza 1-0 Sweden katika mchezo wa Kundi E Euro Uwanja wa Manispaaa mjini Toulouse, Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ITALIA YAIKANDAMIZA SWEDEN 1-0 EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top