• HABARI MPYA

    Sunday, June 05, 2016

    GUARDIOLA ATEREMSHA MIDO LA BORUSSIA DORTMUND MAN CITY

    Kiungo Ilkay Gundogan akifurahia baada ya kukamilisha usajili wa Pauni Milioni 21 kwenda Manchester City ya England kutoka Borussia Dortmund ya Ujerumani. Kocha wa Bayern Munich ya Ujerumani pia, Pep Guardiola amehamia Man City  PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GUARDIOLA ATEREMSHA MIDO LA BORUSSIA DORTMUND MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top