• HABARI MPYA

  Tuesday, June 21, 2016

  GARETH BALE, RAMSEY WAIVUSHA WALES HATUA YA MTOANO EURO 2016

  Nyota wa Wales, Gareth Bale akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Urusi kwenye mchezo wa Kundi B Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Manispaa mjini Toulouse, Ufaransa. Mabao mengine ya Wales yamefungwa na Aaron Ramsey na Neil Taylor na sasa wanakwenda hatua ya 16 Bora kama vinara wa kundi hilo kwa pointi zao sita, moja zaidi ya England waliomaliza nafasi ya pili  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GARETH BALE, RAMSEY WAIVUSHA WALES HATUA YA MTOANO EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top