• HABARI MPYA

  Saturday, June 18, 2016

  EURO 2016 WAGEUKA UWANJA WA VURUGU, MASHABIKI CROATIA NAO WAKINUKISHA ST ETIENNE

  Polisi wakizuia mioto iliyokuwa inarushwa uwanjani na mashabiki wa Croatia usiku wa jana Uwanja wa Stade Geoffroy-Guichard mjini Saint-Etienne, Ufaransa wakati timu yao inaingoza 2-1 katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 2-2 na Jamhuri ya Czech katika mchezo wa Kundi D Euro 2016. Mabao ya Croatia yalifungwa na Ivan Perisic na Ivan Rakitic, kabla ya Czech kusawazisha kupitia kwa Milan Skoda na Tomas Necid  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EURO 2016 WAGEUKA UWANJA WA VURUGU, MASHABIKI CROATIA NAO WAKINUKISHA ST ETIENNE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top