• HABARI MPYA

  Tuesday, June 21, 2016

  ENGLAND YAJITEGA ANGA ZA URENO BAADA YA KUMALIZA WA PILI KUNDI B

  Nahodha wa England, Wayne Rooney akijilaumu baada ya kupoteza nafasi nzuri ya kufunga dhidi ya Slovakia katika mchezo wa Kundi B, Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Stade Geoffroy-Guichard mjini Saint-Etienne, Ufaransa uliomalizika kwa sare ya 0-0. Kwa matokeo England inamaliza na pointi tano katika nafasi ya pili, nyuma ya Wales iliyomaliza na pointi sita na inaweza kukutana na Ureno katika hatua ya 16 Bora  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENGLAND YAJITEGA ANGA ZA URENO BAADA YA KUMALIZA WA PILI KUNDI B Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top