• HABARI MPYA

  Thursday, June 16, 2016

  ENGLAND YAIPIGA 2-1 WALES NA KUPAA KILELENI KUNDI B EURO 2016

  Mshambuliaji Daniel Sturridge akiwa amezingirwa na wachezaji wenzake wa England wakimpongeza kwa kufunga bao la ushindi dakika ya 90 na ushei wakiilaza 2-1 Wales katika mchezo wa Kundi B Euro 2016 jioni ya leo Uwanja wa Bollaert-Delelis mjini Lens, Ufaransa. Bao lingine la England limefungwa na Jamie Vardy dakika ya 56, baada ya Gareth Bale kutangulia kuifungia Wales dakika ya 42 na sasa Three Lions wanapanda kileleni kwa kufikisha pointi nne, wakifuatiwa na Wales, Slovakia zenye pointi tatu kila moja, wakati Urusi inashika mkia kwa pointi yake moja, baada ya kila timu kucheza mechi mbili  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENGLAND YAIPIGA 2-1 WALES NA KUPAA KILELENI KUNDI B EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top