• HABARI MPYA

    Monday, June 06, 2016

    DANTE 'LILIVYOMIMINA MIWINO' KWENYE KARATASI ZA YANGA LEO

    Beki Andrew Vincent 'Dante' akitia dole gumba kwenye fomu za Mkataba wa usajili wa Yanga SC leo mjini Dar es Salaam baada ya kusaini miaka miwili kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro
    Dante akisaini fomu za kujiunga na Yanga leo wakati akishuhudiwa na ndugu zake
    Andrew Vincent 'Dante' sasa ni mali ya Yanga SC na ni mtumishi halali wa timu ya Jangwani
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DANTE 'LILIVYOMIMINA MIWINO' KWENYE KARATASI ZA YANGA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top