• HABARI MPYA

  Sunday, June 05, 2016

  BRAZIL YANG'ANG'ANIWA 0-0 NA ECUADOR COPA AMERICA, COLOMBIA YAIPIGA 2-0 MAREKANI

  Kiungo wa Brazil, Willian akipiga mpira mbele ya kipa wa Ecuador, Dreer katika mchezo wa ufunguzi wa Copa America usiku wa kuamkia leo mjini California, Marekani. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0  PICHA ZAIDI GONGA HAPA  

  Sebastian Perez wa Colombia (kulia) akipasua katikati ya wachezaji wa Marekani katika mchezo wa ufunguzi wa Copa America jana mjini Santa Clara. Ecuador ilishinda 2-0, mabao ya Cristian Zapata na James Rodriguez kwa penalti  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRAZIL YANG'ANG'ANIWA 0-0 NA ECUADOR COPA AMERICA, COLOMBIA YAIPIGA 2-0 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top