• HABARI MPYA

  Saturday, June 18, 2016

  AVEVA SASA AAMUA KUSAJILI MWENYWE SIMBA SC, AMSAINI MO IBRA

  Rais wa Simba SC (kulia) akiwa na kiungo wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Mohamed 'Mo' Ibrahim (katikati) baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na Wekundu wa Msimbazi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Jaki Football Academy, Jamal Kisongo wamiliki wa mchezaji, ambako pia ametokea Mbwana Samatta anayechezea KRC Genk ya Ubelgiji
  Aveva akimtazama kwa makini Mo Ibrahim anavyosaini fomu za Mkataba wa Simba SC
  Kushoto ni Meneja wa kituo Jaki Football Academy, Fadhil Husssein 'Mataifa' akipeana mikono na Aveva baada ya kukamalisha zoezi hilo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AVEVA SASA AAMUA KUSAJILI MWENYWE SIMBA SC, AMSAINI MO IBRA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top