• HABARI MPYA

  Sunday, June 19, 2016

  ARGENTINA YATINGA NUSU FAINALI COPA AMERICA, MESSI AFUNGA

  Nyota wa Argentina, Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 4-1 Alfajiri ya leo dhidi ya Venezuela kwenye mchezo wa Robo Fainali wa michuano ya Copa America Uwanja wa Gillette Stadium mjini Foxborough, Massachusetts, Marekani. Mabao mengine ya Argentina yalifungwa na Gonzalo Higuain mawili na Erik Lamela, wakati la kufutia machozi la Venezuela lilifungwa na Salomon Rondon  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARGENTINA YATINGA NUSU FAINALI COPA AMERICA, MESSI AFUNGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top