• HABARI MPYA

    Tuesday, June 07, 2016

    ARGENTINA YAICHAPA CHILE 2-1 COPA AMERICA

    Winga wa Argentina, Angel Di Maria akimtoka beki wa Chile, Gary Medel katika mchezo wa Copa America usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Levi mjini Santa Maria, Marekani. Argentina iliyocheza bila nyota wake, Lionel Messi, imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Angel di Maria na Ever Banega, wakati la Chile limefungwa na Jose Fuenzalida  PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARGENTINA YAICHAPA CHILE 2-1 COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top