• HABARI MPYA

  Sunday, May 08, 2016

  YANGA 'WALIVYOWASHUGHULIKIA' WAANGOLA JANA TAIFA

  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akipiga mpira wa juu kwa staili ya baiskeli dhidi ya wachezaji wa Sagrada Esperanca ya Angola katika mchezo wa kwanza wa mchujo kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0
  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akipambana katikati ya mabeki wa Sagrada Esperanca jana
  Winga wa Yanga, Godfrey Mwashiuya akimtoka beki wa Sagrada Esperanca jana
  Beki wa Yanga, Kevin Yondan akikokota mpira baada ya kumuacha chini beki wa Sagrada Esperanca jana
  Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akimtoka mchezaji wa Sagrada Esperanca jana
  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwatoka wachezaji wa Sagrada Esperanca jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA 'WALIVYOWASHUGHULIKIA' WAANGOLA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top