• HABARI MPYA

  Monday, May 16, 2016

  YANGA WALIVYOONDOKA NADHIFU LEO KWENDA ANGOLA

  Wachezaji wa Yanga, Simon Msuva (kulia) na Juma Abdul (kushoto) wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Alfajiri ya leo kwa ajili ya safari ya Angola kwenda kucheza na Sagrada Esperanca ya huko kwenye mchezo wa marudiano wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika keshokutwa 
  Simon Msuva (kulia) na mshambuliaji Matheo Anthony (kushoto) ambao kila mmoja alifunga bao moja katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam 
   Kutoka kushoto wakiwa ndani ya ndege ni Juma Abdul, Haruna Niyonzima na Kevin Yondan
   Wakiwa ndani ya ndege ni Thabani Kamusoko (kulia) na Deus Kaseke (kushoto)
  Mshambuliaji Donald Ngoma ambaye pamoja na Kamusoko walikosa mechi ya kwanza kwa sababu ya adhabu za kazi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIVYOONDOKA NADHIFU LEO KWENDA ANGOLA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top