• HABARI MPYA

  Saturday, May 14, 2016

  WAZIRI NCHEMBA 'AMPA URAIA' WA TANZANIA KOCHA PLUIJM


  Waziri wa Kilimo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimuinua mkono kocha wa Yanga, Mholanzi Hans van der Pluijm (kulia) baada ya kumvalisha skafu ya bendera ya Tanzania kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu hiyo na Ndanda FC ya Mtwara jioni hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Waziri Nchemba akimvalisha skafu ya bendera ya Tanzania kocha Pluijm
  Waziri Nchemba akizunfumza na Pluijm baada ya kumvalisha skafu ya bendera ya Tanzania
  Waziri Nchemba akimvalisha skafu ya bendera ya Tanzania kocha Pluijm
  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (katikati) akisalimiana na kocha Pluijm (kulia) pembeni ya Waziri Nchemba (kushoto)
  Waziri Nchemba ambaye ni mgeni rasmi katika mchezo huo, alianza kwa kusalimiana na wachezaji wa timu zote mbili 
  Waziri Nchemba baada ya kusalimiana na wachezaji wa timu zote mbili
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI NCHEMBA 'AMPA URAIA' WA TANZANIA KOCHA PLUIJM Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top