• HABARI MPYA

    Thursday, May 19, 2016

    WASPANYOLA WALIVYOKABIDHIWA RASMI MIKOBA AZAM FC

    Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammed (kushoto) akiwakanbidhi jezi ya timu hiyo, makocha wapya, Zebensul Hernandez Rodriguez na Jonas Garcia Luis (wa pili kulia). Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Azam, Saad Kawemba
    Sheikh Said akiwashuhudia makocha hao wakati wakisaini mikataba ya miaka miwili kila mmoja kufundisha Azam FC kuanzia Juni

    Jonas Garcia Luis akibadilishana nakala za mikataba na Shekh Said

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WASPANYOLA WALIVYOKABIDHIWA RASMI MIKOBA AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top