• HABARI MPYA

  Friday, May 06, 2016

  WAPINZANI WA YANGA WALIVYONYOOSHA VIUNGO LEO TAIFA

  Wachezaji wa Sagrada Esperanca ya Angola wakifanya mazoezi mepesi jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika dhidi ya wenyeji, Yanga SC kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAPINZANI WA YANGA WALIVYONYOOSHA VIUNGO LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top