• HABARI MPYA

    Sunday, May 01, 2016

    TOTO NA YANGA KATIKA PICHA JANA KIRUMBA

    Kipa wa Toto Africans, Mussa Mohammed akiwania mpira wa juu dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza, Yanga ilishinda 2-1
    Wachezaji wa Yanga na Toto wakifuata mpira katikati ya Uwanja jana
    Beki wa Toto (mbele) akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TOTO NA YANGA KATIKA PICHA JANA KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top