• HABARI MPYA

  Sunday, May 08, 2016

  SOUTHAMPTON YAICHAPA 2-1 SPURS WHITE HART LANE

  Kiungo wa Tottenham Hotspur, Eric Dier (kulia) akiuetelezea mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Southampton, Msenegal Sadio Mane katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa White Hart Lane. Southampton imesinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Steven Davis wakati la Spurs limefungwa na Son Heung-min  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SOUTHAMPTON YAICHAPA 2-1 SPURS WHITE HART LANE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top