• HABARI MPYA

  Sunday, May 08, 2016

  SOKA SAFI YA YANGA UKIPOOZEA KWA KONI YA AZAM, SWAAFI KABISA!

  Shabiki maarufu wa Simba SC, Fii (kulia) akila koni kwa raha zake huku akishuhudia mchezo wa jana kati ya Yanga na Sagrada Esperanca ya Angola Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0 mchezo huo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kupangwa kwenye makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika 
  Fii sasa hapa anamalizia biskuti ya koni, huku Yanga wakiwatesa Waangola Uwanja wa Taifa
  Fii alikuwa mwenye furaha jana, huku akishuhudia burudani safi ya soka ya watani na kupoozea kwa koni yake ya Azam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SOKA SAFI YA YANGA UKIPOOZEA KWA KONI YA AZAM, SWAAFI KABISA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top