• HABARI MPYA

  Monday, May 02, 2016

  SIMBA NA AZAM KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Kiungo wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' akijiviuta kupiga shuti mbele ya beki wa Simba, Novaty Lufunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zzilitoka 0-0
  Beki wa Azam FC, Gardiel MIchael akijaribu kuupitia mpira miguuni mwa beki wa Simba, Emery Nimubona
  Kiungo wa Azam FC, Rmadhani Singano 'Messi' (kushoto) akimlamba chenga kiungo wa Simba, Justivea Mabajvi
  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche (kushoto) akifumua shuti mbele ya Emery Nimubona wa Simba  
  Ramadhani Singano 'Messi' akipasua katikati ya Juuko Murshid (kushoto) na Jonas Mkude (kulia) 
  Kiungo wa Simba, Awadha Juma akimtoka kiungo wa Azam FC, Jean Babptiste Mugiraneza
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA AZAM KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top