• HABARI MPYA

    Wednesday, May 18, 2016

    SHUJAA DIDA AKIPONGEZWA DUNDO

    Kipa wa Yanga, Deo Munishi 'Dida' akiwa amebebwa na mashabiki baada ya mechi leo mjini Dundo, Angola wakimpongeza kwa kazi nzuri ya kupangua mkwaju wa penalti na kuiwezesha Yanga kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 2-1, ikishinda 2-0 nyumbani wiki iliyopita na leo kufungwa 1-0 Dundo wakicheza pungufu baada ya Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' kutolewa kwa kadi nyekundu

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHUJAA DIDA AKIPONGEZWA DUNDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top