• HABARI MPYA

  Thursday, May 19, 2016

  SEVILLA WAIBUTUA 3-1 LIVERPOOL NA KUTWAA NDOO NDOGO YA UEFA

  Wachezaji wa Sevilla ya Hispania wakiwa wamebeba Kombe la UEFA Europa League baada ya kutwaa usiku huu kufuatia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Liverpool ya England Uwanja wa St. Jakob-Park mjini Basel, Uswisi. Daniel Sturridge alianza kuifungia Liverpool dakika ya 35, kabla ya Kevin Gameiro kuiswazishia Sevilla dakika ya 46 na Jorge Andujar Moreno 'Coke' kufunga la pili na la tatu dakika za 64 na 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SEVILLA WAIBUTUA 3-1 LIVERPOOL NA KUTWAA NDOO NDOGO YA UEFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top