• HABARI MPYA

  Sunday, May 08, 2016

  SANCHEZ AINUSURU ARSENAL KUPIGWA NA MAN CITY

  Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akitimua mbio kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha dakika ya 68 katika sare ya 2-2 na Manchester City jioni ya leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 10, wakati ya Man City yamefungwa na Sergio Aguero dakika ya nane na Kevin De Bruyne dakika ya 51  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ AINUSURU ARSENAL KUPIGWA NA MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top