• HABARI MPYA

  Sunday, May 01, 2016

  SADIO MANE AWAGONGA HAT TRICK MAN CITY WAKILALA 4-2 KWA SOUTHAMPTON

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu peke yake Southampton dakika za 28, 57 na 68 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Manchester City Uwanja wa St. Mary's katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo. Bao lingine la Watakatifu limefungwa na Shane Long dakika ya 25, wakati ya City yamefungwa na Mnigeria Kelechi Promise Iheanacho dakika za 44 na 78  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SADIO MANE AWAGONGA HAT TRICK MAN CITY WAKILALA 4-2 KWA SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top