• HABARI MPYA

  Sunday, May 01, 2016

  MKWARA GANI AWADH ALIKUWA ANAMCHIMBA MKUDE HAPA?

  Kiungo wa Simba, Awadh Juma (kulia) akimuambia jambo kwa msistizo Nahodha wake, Jonas Mkude (kushoto) wakati wa mapumziko kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Azam FC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKWARA GANI AWADH ALIKUWA ANAMCHIMBA MKUDE HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top