• HABARI MPYA

    Sunday, May 08, 2016

    MIDDLESBROPUGH, BURNLEY ZAREJEA LIGI KUU ENGLAND

    Kocha wa Middlesbrough, Aitor Karanka na Nahodha Grant Leadbitter wakiinua kwa pamoja Kombe la ushindi wa pili wa Ligi Daraja la Kwanza England baada ya sare ya 1-1 na Brighton Uwanja wa Riverside, hivyo kuungana na Burnley kurejea Ligi Kuu ya England msimu ujao  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MIDDLESBROPUGH, BURNLEY ZAREJEA LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top