• HABARI MPYA

  Sunday, May 15, 2016

  MBWANA ALLY SAMATTA 'ALIVYOKINUKISHA' JANA UBELGIJI

  Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa KV Oostende katika mchezo wa Ligi ya mchujo Ubelgiji kuwania kufuzu michuano ya Ulaya uliofanyika usiku wa Jumamosi Uwanja wa Schiervelde mjini Roeselare. KV Oostende ilishinda 2-1 
   Samatta akimtoka beki wa KV Oostende jana
  Samatta akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa KV Oostende na kipa wao
  Samatta akiruka na kipa wa KV Oostende kuwania mpira wa kona
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBWANA ALLY SAMATTA 'ALIVYOKINUKISHA' JANA UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top