• HABARI MPYA

    Tuesday, May 17, 2016

    MAZOEZI YA MWISHO YA YANGA LEO DUNDO KABLA YA KUIVAA ESPERANCA KESHO

    Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi mepesi jioni ya leo Uwanja wa Sagrada Esperanca mjini Dundo, Angola kujiandaa kwa mchezo wa marudiano kesho mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Sagrada Esperanca
    Yanga inahitaji usare yoyote kesho ili kuingia kwenye makundi ya Kombe la CAF, baada ya awali kushinda 2-0 Dar es Salaam

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO YA YANGA LEO DUNDO KABLA YA KUIVAA ESPERANCA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top