• HABARI MPYA

    Friday, May 20, 2016

    MAKOCHA WA HISPANIA WALIVYOANZA KAZI AZAM FC

    Kocha mpya wa Azam FC, Zebensul Hernandez Rodriguez kutoka Hispania akiongoza mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumapili dhidi ya  Mgambo JKT Uwanja wa Azam Complex
    Kocha Msaidizi Jonas Garcia Luis kutoka Hispania pia akiwafundisha kwa mifano wachezaji wa Azam
    Kocha Msaidizi Jonas Garcia Luis akiwa na wachezaji wa Azam mazoeizini jana
    Kocha Jonas Garcia Luis akiwazzungumza na wachezaji wa Azam
    Kocha Jonas Garcia Luis akiwazzungumza na wachezaji wa Azam
    Zebensul Hernandez Rodriguez akiwaelekeza wachezaji wa Azam mazoezini jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAKOCHA WA HISPANIA WALIVYOANZA KAZI AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top