• HABARI MPYA

  Sunday, May 15, 2016

  LIVERPOOL YAPATA SARE KWA WEST BROM, 1-1

  Mshambuliaji kinda wa miaka 17 wa West Brom, Jonathan Leko akipambana na beki wa Liverpool, Brad Smith kuwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa The Hawthorns. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, bao la wenyeji likifungwa na Jose Salomon Rondon dakika ya 13, kabla ya Jordon Ibe kuisawazishia Liverpool dakika 10 baadaye PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAPATA SARE KWA WEST BROM, 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top