• HABARI MPYA

    Sunday, May 08, 2016

    LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 WATFORD

    Joe Allen akitelezea mpira kuifungia Liverpool dakika ya 35 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield jioni ya leo. Bao lingine la Liverpool limefungwa na -Roberto-Firmino dakika ya 76  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 WATFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top