• HABARI MPYA

  Saturday, May 07, 2016

  LEICESTER WAIGONGA 3-1 EVERTON ZA KUPAMBIA SHEREHE ZA UBINGWA

  Nahodha wa Leicester City, Wes Morgan (wa pili kulia) wakiwa wameinua taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya England na kocha Claudio Ranieri (katikati) baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Everton Uwanja wa King Power leo. Mabao ya Leicester yamefungwa na  baada ya ushindi wa 3-1 Jamie Vardy mawili moja kwa penalti, huku pia akikosa penalti moja na lingine Andy King, wakati la Everton limefungwa na Kevin Mirallas  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER WAIGONGA 3-1 EVERTON ZA KUPAMBIA SHEREHE ZA UBINGWA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top