• HABARI MPYA

    Wednesday, May 18, 2016

    JEZI TAMU ZAIDI KUWAHI KUVALIWA TAIFA STARS

    Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kabla ya moja ya mechi zao. Jezi hii ilitokea kupendwa na wananchi wengi, kwa sababu ilikuwa ina mwonekano sawia kabisa na bendera ya Tanzania
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JEZI TAMU ZAIDI KUWAHI KUVALIWA TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top