• HABARI MPYA

  Saturday, May 21, 2016

  HUU SI UUNGWANA NA SI UBINADAMU JAMANI WANA YANGA!

  Mashabiki wa Yanga wakimshambulia kijana aliyekuwa amevaa jezi ya rangi nyekundu na nyeupe, maarufu kuvaliwa na mahasimu wao wa jadi, Simba. Tukio hilo lilitokea nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana wakati wa mapokezi ya Yanga ikirejea kutoka Angola ambako waliitoa Sagrada Esparanca ya huko na kukata tiketi ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HUU SI UUNGWANA NA SI UBINADAMU JAMANI WANA YANGA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top